Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi baada ya kumsimamisha Kata ya Lamadi alipokuwa akielekea kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoani Simiyu. |
|
Sehemu ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) baada ya kumsimamisha njiani Kata ya Lamadi alipokuwa akielekea kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoani Simiyu. |
|
Sehemu ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) baada ya kumsimamisha njiani Kata yaDutwa alipokuwa akielekea kwenye mkutano wa hadhara kampeni za CCM Mkoani Simiyu. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Titus Kamani (kulia) wakisaini vitabu vya wageni Jimbo la Busega kabla ya mgombea mwenza kuhutubia wananchi eneo hilo. |
|
Dk. Raphael Chegeni (hayupo pichani) wa Jimbo la Busega akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
|
Dk. Raphael Chegeni wa Jimbo la Busega akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
|
Vijana nao wakapanda mtini kumshuhudia Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (kulia) wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Busega, George Mshomi katika Jimbo hilo. |
|
Asumpta Mshama ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kampeni wanaoongozana na mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega. |
|
Asumpta Mshama (kulia) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kampeni wanaoongozana na mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgombea ubunge wa Jimbo la Busega, Dk. Chegeni. |
|
Mgombea mwenza wa CCM tiketi ya urais, Mama Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Busega. |
|
Salamu kwa wananchi njiani akielekea katika mikutano mikubwa. |
|
Wagombea udiwani CCM, Jimbo la Bariadi wakijitambulisha kwa wananchi. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Titus Kamani (kulia) wakisaini vitabu vya wageni Jimbo la Busega kabla ya mgombea mwenza kuhutubia wananchi eneo hilo. |
|
'Tutakaa popote tumshuhudie Mama Samia Suluhu Hassan' ...Vijana wakiwa wamepanda juu ya bati Jimbo la Itilima ili kumshuhudia mgombea mwenza. |
|
Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
|
Umati katika Jimbo la Itilima, Wilaya ya Itilima Simiyu. |
|
Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. |
*Imeandaliwa na www.thehabari.com
0 comments:
Post a Comment