Frank
Mvungi- maelezo
SerikaliimesemauchaguziwaSerikalizaMitaauliofanyikajanaKoteNchiniumefanikiwakwa
Zaidi yaasilimia 98%katikaMikoayote .
HayoyamesemwanaWaziriwa
NchiOfisiyaWaziriMkuuTawalazaMikoanaSerikalizaMitaa
(TAMISEMI) HawaGhasiawakatiwamkutanonawaandishiwaHabarileojijini Dar es salaam
uliolengakutoaufafanuzikuhuzimafanikioyauchaguzihuo.
AkifafanuaMh.
GhasiaamesemakwakiwangokikubwawananchiwalijitokezakupigakuranakuchaguaviongoziwaokatikangaziyaMitaa,Vijiji,
naVitongoji.
AkizungumziamafanikioyaUchaguzihuoMh.
GhasiaalitajaMikoaambayouchaguziumefanyikakatikaHalmashaurina Kata zotekuwaniArusha,Mbeya,Kagera,Njombe,Singida,Lindi,Ruvuma,KatavinaGeita.
MikoaMingineiliyofanyavizurikatikauchaguzihuoniIringa,Dodoma,MtawaraambapoMh.GhasiaaliwapongezaViongozinawataendajiwotewaMikoanaHalmashaurihizopamojanawananchikwakazikubwananzuriwaliyofanyahadikufanikishauchaguzihuo.
Akitoaufafanuzi
Zaidi kuhusumaboreshoyaliyofanywanaSerikalikatikauchaguzihuoMh.
Ghasiaamesemakuwamojawaponikuwepokwautaratibuwakupigakurakwakutumiakaratasimaalumzilizochapishwakituambachokatikauchaguziuliopitahakikuwepo.
AkizungumziaMikoaambayobaadhiyaHalmashaurizimeahirishauchaguziamaHalmashauriyote
au sehemuya KatazakekwasababumbalimbaliikiwemokuchelewakufikakwavifaavyakupigiakuraMh.Ghasiaaliitajakuwani
Kilimanjaro
katikaHalmashauriyaWilayayaRombonaHai,ManyarakatikaHalmashaurizaHanangnambulu.
MikoaMingineniMorogorokatikaHalmashuriyaWilayayaUlanganaMvomero,MkoawaShinyangaHalmashauriyaWilayayaMsalala,MkoawaSimiyuHalmashauriyaWilayayaBuseganaItilimaambapoMikoamingineambayokasorondogondogozilijitokezanakupelekeauchaguzikuahirishwakatikabaadhiya
Kata niKigoma,Mwanza,Tabora,Tanga,Mara,Rukwa,Pwanina Dar es salaam.
AkizungumziaHatuazitakazochukuliwanaSerikalikufuatiadosarizilizojitokezakatikabaadhiyamaeneoMh.
GhasiaamesemaMikoayoteimetakiwaawasilishetaarifarasminakamilifukuhusuyaliyojitokezakatikaHalmashaurizaoambapoWizarayakeitachambuataarifahizoilikubainichanzo
cha kasorozilizojitokezailihatuastahikizichukuliwe.
KuhusuHalmashuriambazohazikufanyauchaguzikutokananakasorombalimbaliMh.
GhasiaamesemakwamujibuwaKanunizinatakiwakurudiauchaguzihuondaniyasikusabakamakanunizauchaguzihuozinavyoelekeza.
NayeKatibuMkuuOfisiyaWaziriMkuuTAMISEMI Bw.
JumanneSaginialitoawitokwavyombovyahabarikuwekauzalendombelekatikakuripotihabarizauchaguziwaSerikalizaMitaailikusaidiaTaifakukamilishamchakatohuomuhimu.
AkifafanuaSaginiamesemanivyemavyombovyaHabarivikaonyeshamafanikiomakubwayaliyopatikanakatikauchaguzihuopamojanakasorondogondogozilizojitokeza.
UchaguziwaSerikalizaMitaakatikangaziyaMitaa,Vijiji,
naVitongojiulifanyikatarehe 14/12/2014
kotenchiniambapotaarifazaawalizimeonyeshakuwazoezi la
kupigakuraliliendavizurikatikaMikoaMingi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment