Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
ESTHER KULWA (57) mkazi wa Simiyu namba yake ya
ushiriki ni M 23 ni mfugaji na mkulima na ana shamba la ukubwa wa ekari 7
anazotumia kulima mpunga na mahindi, pia anafuga ng’ombe 7.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa
sababuanahamasisha akina mama kuwa wajasiriamali kupitia kilimo na kupata
mitaji. "Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 90" anasema
MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA
MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment