Wilaya ya Itilima
mkoani Simiyu imepanga kukusanya jumla ya shs 26,912,534,312 kwa ajili ya
matumizi yake ya kawaida.
Mkurugenzi mtendaji
wa halmashauri ya wilaya hiyo Dkt Leonard Masare amesema makusanyo hayo yatatokana
katika vyanzo mbalimbali vya mapato.
Amesema mapato hayo
katika kukusanya mapato hayo halmashauri itatumia mawakalaili kuongeza
ukusanyaj, kutoa elimu kwa walipa kodi .
Kuboresha mikataba ya
ukusanyaji wa mapato ya ndani kati ya mawakala na halmashauri.
Amesema malengo makuu
ya halmashauri hiyo ni kujenga uwezo wa kiutawala katika ngazi zote,na
kuiwezesha jamii kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo.
0 comments:
Post a Comment