Mmoja wa machifu wa Kisukuma eneo la Bariadi ambaye pia ni Mbunge wa
Bariadi Mashariki Andrew Chenge akimvika vazi la kijadi Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kumpa uchifu Rais Kikwete iliyofanyika
mjini Bariadi,Mkoa mpya wa Simiyu leo.Rais Kikwete alipewa jina la
kisukuma la Chifu Ng’humbu Banhu lenye maana ya Anayekumbuka na
kuthamini Watu.
(Picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment