Home » » Rais Kikwete azindua Benki ya Azania Tawi la Lamadi Mkoa wa Simiyu

Rais Kikwete azindua Benki ya Azania Tawi la Lamadi Mkoa wa Simiyu


 Jengo la Benk ya Azania lililofunguliwa na Rais Dkt. Jakaya Kikwete Mkoa Simiyu leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Azania Bw.William Erio(kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bwana Charles Singili(kulia) wakifuana kitambaa katika jiwe la msingi kushiria kuzindua Benki ya Azania tawi la Lamadi, Mkoa mpya wa Simiyu  jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Azania Bwana William Erio(wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Bwana Charles Singili(kushoto) wakikata utepe kuzindua rasmi Benki ya Azania Tawi la Lamadi jana.Kulia nia mkuu wa Mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti
(picha na Freddy Maro)



0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Simiyu Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa