Mwandishi wetu, Simiyu
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, amelazimika kufanya ziara ya katika mikoa ya Simiyu na Mwanza yenye lengo la kutafuta suluhu mgogoro katika pori la akiba la Maswa, na kuhimiza utalii wa ndani katika kisiwa cha Saa Nane mjini Mwanza.
Katika ziara hiyo Nyalandu ameambatana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Joelson Mpina, na atahutubia mkutano wa hathara leo katika kijiji cha Marwiro, na Mwandoya ambako atakabidhi Ambulance, na kuhimiza uhifadhi wanyamapori
Blogzamikoa
0 comments:
Post a Comment