4790: Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania Mkoa
wa Mwanza Bi,Jacinta Mutakyawa (Aliyesimama) akiongea na waratibu wa Ukimwi,Maafisa Vijana
na Wadau mbalimbali juu ya haki za Afya ya Uzazi na Ujinsia leo jijini
Mwanza.Haki izo zikiwemo haki ya kuwa huru
dhidi ya vitendo vya ukatili na haki ya kuchagua na kupanga uzazi.
Mratibu wa Ukimwi kutoka Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bw,Musa Varisanga(Aliyevaa Miwani) akifurahia jambo na Mratibu wa Vijana kutoka
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Bi,Grace Kessy(wa Kwanza Kulia) leo jijini Mwanza inapofanyika Warsha ya Stadi
za Maisha na Afya ya Uzazi katika hoteli
ya Midland.
Baadhi ya washiriki kutoka Mkoa wa
Simiyu,Bariadi wakiwasilisha Mada kuhusu Matokeo ya Ukuaji wa Mwanadamu mbele
ya washiriki wenzao leo hii jijini
Mwanza inapoendelea Warsha ya Stadi za Maisha na Afya ya Uzazi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment