Home » » Maswa Wagomea Mkoa Mpya Wa Simiyu

Maswa Wagomea Mkoa Mpya Wa Simiyu



Na Samwel Mwanga, Maswa

WANANCHI wa wilaya ya Maswa katika mkoa mpya wa Simiyu wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kuiondoa wilaya hiyo katika mkoa huo mpya ili wabaki katika mkoa wa zamani wa Shinyanga kwa madai kuwa hawakubaliani na uamuzi wa makao makuu ya mkoa huo kupelekwa wilayani Bariadi.

Wakizungumza jana mjini Maswa walisema... Soma zaidi: http://www.kwanzajamii.com

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Simiyu Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa